Chidi Beenz: Wasanii hatupotei, Aliyepotea amefariki

Chidi Beenz: Wasanii hatupotei, Aliyepotea amefariki

Akizungumza na waandishi wa habari mwanamuziki mkongwe nchini #ChidiBeenz amekanusha kauli ya watu wanaoseama kuna baadhi ya wasanii wamepotea kwenye game, Chidi amedai kuwa wasanii huwa hawapotei ila anayepotea ni mtu ambaye hayupo tena duniani.

Msanii huyo wa Hip-hop amesema hakuna msanii anayepotea kimuziki bali wasanii huamua kukaa kimya na kufanya mambo mengine kwani hakuna mtu anayetaka kuonekana akiongea kila siku.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post