Chanzo kifo cha shabiki, show ya Taylor

Chanzo kifo cha shabiki, show ya Taylor

Baada ya uchunguzi kufanyika kuhusiana na kifo cha shabiki kilichotokea katika show ya mwanamuziki #TaylorSwift nchini #Brazil imebainika kuwa shabiki huyo alifariki kutokana na joto kali.

Polisi nchini humo wameeleza kuwa shabiki huyo amefariki kutokana na joto kali lililosababishwa na msongamano wa watu ambayo kitaalamu huitwa ‘Heat Exhaustion’.

Shabiki huyo aliyetambulika kwa jina la Ana Clara Benevides alifariki Novemba 17 mwaka huu.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi
 
 
 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags