Burna Boy apigwa chini tuzo Grammy

Burna Boy apigwa chini tuzo Grammy

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy, bwana weeeh ni kama ana bahati mbaya na tuzo za Grammy, hii ni baada ya muendelezo wa kukosa tuzo hizo kubwa duniani.

Kwa mara nyingine tena, mwamba huyo azikosa tuzo hizo kwa mwaka 2023, hii ni mara baada ya kutoswa kwenye vipengele viwili alivyokuwa anawania.

Burna Boy alikuwa anawania kipengele cha Best Global Music Album kilichochukuliwa na "Sakura," Masa Takumi na kipengele cha Best Global Music Perfomance kilichobebwa na Wouter Kellerman, Zakes Bantwini & Nomcebo Zikode kupitia "Bayethe."






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags