Kampuni ya urembo kutoka Uhispania ya Balenciaga imezindua viatu viitwavyo ‘Zero’ ambacho ni mahususai kwa ajili ya kutumika katika msimu wa vuli mwaka 2025. Viatu...
‘Rapa’ kutoka Marekani Meek Mill ameweka wazi kuwa hapo mwanzo alikuwa hajui kabisa kufunga Kamba za viatu lakini alifundishwa na ‘rapa’ tajiri zaidi n...
Na Asha Charles
Kawaida fashion hubebwa na muoneano, kuanzia juu mpaka chini yaani mavazi, nywele, viatu na hata harufu ya muhusika. Wapo ambao hujikuta wakiharibu muonekano w...
Tumezoea kuona bei za kawaida wakati wa kwenda kununua viatu, huku baadhi ya watu wakijiwekea ukomo wa kiatu anachotaka kununua kisizidi bei Fulani. Sasa leo Mwananchi Scoop t...
Kampuni maarufu inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ya Adidas iko mbioni kuzindua toleo maalumu la viatu vya marehemu mkali wa reggae kutoka Jamaica Bob Marley...
Aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump ameingia katika soko la biashara ya kuuza viatu vya dhahabu aina ya ‘Never Surrender’ ambavyo vitauzwa kwa gharama ya Dola ...
Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa kikapu NBA kutoka nchini Marekani #MichaeJordani ameweka rekodi ya kukusanya viatu vyake alivyo wahi kuvi vaa katika fainali ya sita za ‘T...
Mbunifu maarufu kutoka nchini Marekani Imran Potato mwezi Novemba mwaka huu alizindua viatu vyenye muundo wa panya ambavyo vinapatikana kwenye tovuti yake kwa bei ya dola 75K ...
‘Rapa’ na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kanye West ametangaza kuachia rasmi viatu vyake alivyovipa jila la ‘Yeezy pods’ vyenye thamani ya dola ...
Kocha wa ‘klabu’ ya #Liverpool #JurgenKlopp amethibitisha kukosekana kwa mlinda mlango #AllisonBecker kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la misuli ya paja kati...
Hali ya viatu kutoa harufu mbaya inawezekana iliwahi kukukumba ama bado inakukumba au umewahi kukarahishwa na mtu mwenye tatizo hilo, na kawaida tatizo hilo hufanya mtu kutoji...
Kampuni maarufu duniani ya teknolojia 'Apple', rasmi imetoa Sneakers (viatu) ambavyo vinauzwa kwa dola elfu 50$ ambayo ni zaidi ya Milioni 120 za kitanzania.
Viatu hivyo vinau...
It’s furaidayyy!! I hope uko poa mwanangu sana kama kawaida sisi nia na dhumuni letu kukupasha yale yote unayoyasikia na unayo yajua kwa uchache katika uwanja wa fashion...