Tukiwa tumebakiwa na masaa machache tu kwenda kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka 2025 huku kila mtu akiwa na malengo yake anayotamani kuyatimiza mwakani, hivyo basi utafiti uliyofanywa na Dkt. Gail Matthews umebaini kuwa kuandika malengo yako kunasaidia kuyafanikisha au kuyatimiza kwa asilimia 42.
Aidha utafiti unaeleza kuwa mbinu hiyo ya kuandika malengo yako haina tofauti na unvyopanga majukumu yako ya kila siku kama vile kwenda kazini, kufanya kazi, kupata chakula na kurudi nyumbani kwa ajili ya kupuumzika.
Vilevile pia kufanya hivyo kunakusaidia kukumbuka malengo yako, uwajibikaji na kukusaidia kujiweka katika misingi ya kutimiza kila jambo unalotamani kulifanya.
Lengo lako kubwa zaidi kwa mwaka 2025 ni lipi?
Leave a Reply