Mwafrika wa kwanza kuongoza WHO

Mwafrika wa kwanza kuongoza WHO

Dunia ikiwa inapitia wakati mgumu na janga la corona, kuna mtu mmoja muhimu sana katika kufanya maamuzi ya kukabiliana na janga hili, pamoja na magonjwa mengine mbalimbali duniani.

Mtu huyu ndie anaetupambia LISTI ya leo, kwani ndie Mwafrika wa kwanza kabisa kushika nafasi kubwa hiyo.

Tedros Adhanom Ghebreyesus, a biologist, public health researcher na sasa akishikilia nafasi ya kuwa Director General of World Health Organization (WHO) nafasi aliyoitwaa mwaka 2017.

Tedros is the first African in the role, and was endorsed by the African Union.  

Kabla ya kuwa Director-General, he held two high-level positions in the Ethiopian government, akiwa Waziri wa Afya from 2005 to 2012 and Waziri wa mambo ya Nje from 2012 to 2016.

Tedros alitajwa na Time Magazine kuwa among 100 Most Influential People of 2020.

Hata hivyo, Dr Tedros held many leadership positions in global health, ikiwemo kama Chair of the Global Fund to Fight AIDS, Tuberculosis, and Malaria, Chair of the Roll Back Malaria Partnership, na Co-chair of the Partnership for Maternal, Newborn and Child Health Board.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post