06
Wanasiasa acheni wasanii wachukue fomu
Mwanetu Gabo kachukua fomu. Dogo Stan Bakora kachukua fomu. Mshikaji wetu Mkojani kachukua fomu. Madevu wa Jua Kali kachukua fomu na shangazi yetu Aunt Zai wa Jua Kali na...
06
Usiyoyajua kuhusu Jose Mlavichwa
Ukitazama kwa umakini kwenye video ya wimbo wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ utamwona Video King aliyepamba video hiyo lakini ukirudi kwenye ‘Marry Me’ wimbo...
06
Wananchi na Supu Dei
 Yanga wana utaratibu wa mara kwa mara. Kupika supu na kulisha bure mashabiki wao pale makao makuu ya klabu. Ni tukio kubwa lenye mvuto likikusanya maelfu ya mashabiki.Ub...
06
Sio Witness tu, hata Beyonce kapitia kwa Dolly Parton!
Peter AkaroRapa Witness a.k.a Kibonge Mwepesi ni miongoni mwa wanawake waliofanya vizuri sana katika muziki wa hip hop Bongo. Alikuwa mshindi wa Coca-Cola Popstar 2004 na alis...
05
Selengo Atamani Kuachana Na Sanaa
Msanii wa vichekesho na mtayarishaji, AbdulMohamed 'Selengo' licha ya kuwachekesha wengine ni mtu ambaye uso wake unatawaliwa na machozi pindi anapozungumzia kitu ki...
05
Zuchu Msanii Wa Kwanza Kufikisha Subscribers Milion 4
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu ameripotiwa kufikisha Subscriber milioni 4 katika mtandao wake wa Youtube.Hatua hiyo imepelekea kuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika Ma...
05
Jumba la Jennifer Lopez na Ben Affleck ladoda sokoni
Hatimaye Jennifer Lopez, 55, na mtalaka wake, Ben Affleck, 52, wamefikia uamuzi wa pamoja wa kuliondoa sokoni jumba lao la kifahari lenye thamani ya Dola68 milioni lililopo Lo...
05
Bongo Fleva Ni Nyumbani Kwa P-Square Kwa Miaka 17 Sasa
Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia kundi la muziki kutokea Nigeria, P-Square pamoja na wasanii wake ambao ni pacha (Peter na Paul Okoye) kuendelea kufanya kazi na wenzao wa Bo...
04
Squid Game Msimu Wa Tatu Na Rekodi Zake
Kampuni ya Netflix imeweka historia nyingine kupitia msimu wa tatu wa tamthilia maarufu ya Kikorea, Squid Game, baada ya sehemu hiyo kuvunja rekodi ya watazamaji katika siku t...
04
Mambo Matatu Yatakayofanya Dogo Paten Azidi Kung'ara
Na Nevumba AbubakarNyota ya msanii chipukizi wa singeli, Dogo Paten inazidi kung'ara kila uchao tangu Zuchu alipomshika mkono.Kwa sasa kila mitaa inapigwa ngoma ya Afande...
04
Diddy Na Cassie Wafunguliwa Mashtaka
Wakati kesi ya mkali wa muziki wa hip hop, Sean "Diddy" Combs ikikalibia kutamatika huku hukumu ikitarajia kutolewa Octoba mwaka huu, sakata jingine limeibuka ambapo mwanaume ...
04
Sababu Iliyopelekea Frida Amani Kuacha Kuwa Rapa Wa Kawaida
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Frida Amani ameeleza njia anazozifanya ili kuwa bora katika muziki huo kila siku akitaja kuwa ni kujifunza, kufanya kazi kila siku pamoja na kuwe...
03
Angelique Kidjo Kutunukiwa Hollywood Walk Of Fame 2026
Mwanamuziki nguli kutoka Benin na bara la Afrika kwa ujumla, Angelique Kidjo, ameandika historia kwa kuteuliwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaopata nyota katika Hollywood Wal...
04
Wawili wakabidhiwa tuzo za muziki wa injili
Promota wa wasanii wa muziki wa nyimbo za injili nchini Alex Msama na  msanii wa nyimbo hizo  Smart Boy leo Julai 3,2025 wameshinda tuzo ya EAGMA 'East Afr...

Latest Post