Kabla ya kutumia bidhaa za urembo, ni muhimu kujua na kuelewa mambo kadhaa ili kuhakikisha kuwa unatumia bidhaa zinazofaa na salama kwa ngozi yako. Mwananchi Scoop imeangazia ...
Na Peter AkaroKwa miaka mingi tumekuwa tukisikiliza muziki wao na kutazama mitindo yao ya maisha lakini kuna mengi yametokea nyuma ya pazia hadi wasanii hao wa Bongo fleva kup...
Ulimwengu wa fashion umebebwa na vitu vingi sana huku umaridadi na usafi vikiwa ndiyo nguzo yake. Katika jamii zetu ni suala la aibu kukuta mtu kapendeza lakini akawa a...
Ikiwa zimetimia siku 14 tangu mkali wa Hip Hop Sean Combs 'Diddy' kuishi katika kuta za gereza hatari zaidi Marekani la Metropolitan, kwa upande wa mastaa aliyowaacha uraini m...
Video fupi ya marehemu mwanamuziki Michael Jackson (MJ) kutoka Marekani iitwayo ‘Thriller’ imefikisha watazamaji (views) bilioni 1 katika mtandao wa YouTube.Filamu...
Katika enzi hizi za kidijitali ambazo mitandao ya kijamii na majukwaa ya video yanachangia kwa kiasi kuburudisha jamii na kufurahia muziki, wimbo wa watoto "Baby Shark Dance" ...
Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
Vipi, wameachana au ni kiki? maswali ni mengi kwa ndoa ya msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohamed 'Shilole' na mumewe Rajabu Issa 'Rommy' kutokana na yanayoendelea mitandaoni....
Mama watoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Ne-Yo anayefahamika kwa jina la Big Sade amemfananisha msanii huyo na Diddy kwa kumuita 'Diddy Junior'.
Kwa mujibu wa Tmz Ne...
Mambo vipi watu wangu wa nguvu mwezi Machi umekuwa wa kipekee, swaumu zimetaradadi kila kona, bila kuwachosha mwezi huu mzima nitakusogezea tips mbalimbali za chakula, ambazo ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Kenya aitwaye Epakan Ekaale, amewapa watoto wake mapacha watatu majina ya nyota watatu wa mpira wa miguu wanaokipiga Ligi kuu England katika &lsqu...
Ni matumaini yangu mko pouwa kabisa, leo kwenye biashara nimekuja na wazo konki ambalo halitakufanya ulale njaa, kutokana na watu kila siku kutumia sabuni katika matuminzi yao...