Wakati baadhi ya watu wakichagua marafiki wa kuwanao katika maisha kwa ajili ya kuwasaidia lakini hii ilikuwa tofauti kwa mwigizaji mkongwe wa Marekani Sylvester Stallone &lsq...
Wameingia kwenye mfumo!. Ni kauli aliyoitoa staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz baada ya wimbo wake ‘Komasava’ kubamba sehemu nyingi duniani ikiwemo Nigeria ambap...
Kama kuna kitu kigumu kwenye huu ulimwengu, basi ni kuishi katika dunia ya umaarufu, hasa unaokulazimu kuficha maumivu na uonyeshe nyakati za furaha pekee.
Huu ndiyo uhalisia ...
Na Aisha Charles
Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, ha...
Kufuatia mvutano wa kugombania msemo unaofanania na "Kuchekacheka tu kuoga aaah" kati ya wachekeshaji Shafii Brand na Steve Moses 'Stive Mweusi', Ofisa Usajili kutoka Wakala w...
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...
Mtangazaji maarufu wa Redio ya Clouds FM, Gardner G Habash amefariki dunia, Msemaji wa Kampuni Clouds Media, Emilian Mallya amethibitisha.
Gardner aliyekuwa mtangazaji wa kipi...
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy amewatolea povu baadhi ya watu wanaosambaza na kuinanga picha yake ya zamani akiwa amenyoa ndevu huku akiwataka watu hao kuj...
Shabiki mmoja kupitia mtandao wa X (twitter) amedai kuwa msanii kutoka nchini Nigeria Asake anamuiga msanii mwenzaye Burna Boy.Hii inakuja baada ya Asake kuvunja 'gitaa' (guit...
Familia na watu wakaribu wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi, wamekanusha vikali taarifa inayodaiwa kuwa mchezaji huyo amemsaliti mke wake #Antonela...
Connection, conection, conection, nimeiita mara tatu waungwana, ni maatumaini yangu wote mnaelewa maana ya hili neno maana waswahili wanasema hata kazi ya kufagia barabarani i...
Msanii wa muziki nchini #OmmyDimpoz ame-share video katika InstaStori yake akionyesha simu yake mpya ya I phone 15 na kuandika ujumbe wa matani akiwaambia watu kama hawana ain...
Akizungimza na vyombo vya habari nchini, aliyekuwa Ex wa #HajjiManara, #Rushaynah ameeleza kuwa kumuongelea Ex wako Kwa vibaya kwa watu wengine sio sawa.
Aidha mwadada huyo am...