KUMEKUWA na misuguano kutoka kwa madaktari, wafugaji na watumiaji wa mayai ya kware kwamba huenda yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali na wakati mwingine yasitibu magonjwa hayo...
Nakumbuka ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, ndipo tukio hili liponitokea.
Baada ya kupata misukosuko kadhaa hapa jijini Dar, kutokana na mbilinge zangu za ujanani ...