Juisi ya beetroot ni nzuri kwa moyo wako ikiwa na faida zaidi ya moja. Antioxidants, vitamini, na madini katika juisi ya beet husaidia kupunguza uvimbe, kuboresha mzunguko wa ...
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
Wataalamu wa afya wanasema tunda la Tikiti Maji ni chanzo kikuu cha protini, mafuta, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, chuma, vitamin A, B6, C, Potasium na virutubisho v...
Juice ya ukwaju ni moja ya kinywaji kinachosifika kuwa na ladha nzuri. Tunda ukwaju lenye wingi wa Vitamin B, C, K na aina nyingine za madini yenye faida mwilini, linaweza kut...
Post Desc
Ndimu ikitumiwa kila siku huweza kupunguza uwezekano wa mtumiaji kupatwa na ugonjwa wa kupooza. Hii ni kwa mujibu wa American Heart Association ya nchini Marekani.
T...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, basi hapo kwenye kazi iendelee, Mwananchi Scoop imekuletea mbinu za kibishara zitazofanya ujipatie maokoto kila kukich...
Niaje niaje matajiri wangu, kama kawaida kila wiki tunakutana kwenye chimbo letu la Biashara ambapo tunafundishana mambo mbalimbali kuhusiana na biashara, ujasiriamali nk.
Na ...
Sekta ya muziki nchini Tanzania imekuwa kwa asilimia kubwa katika miaka ya hivi karibuni, huku baadhi ya wasanii kama Diamond, Harmonize, Zuchu, Jaiva, Nandy, Jay melody na we...
Zipo imani nyingi juu ya kutunza sauti kwa ajili ya uimbaji, wapo mwanaodai kuwa mayai na asali ni kati ya vitu muhimu katika kuboresha sauti ili iwe na mvuto.
Sambamba na hay...
Kawaida ubunifu ndiyo kitu kinachotofautisha mtu mmoja na mwingine katika kazi ya sanaa hasa katika muziki ambapo kila msanii anatamani kuwa bora kuliko mwenzake.
Wapo ambao w...
Biashara ya mafuta asili inazidi kukua kwa kasi kila uchwao, watu mbalimbali wamechukulia bidhaa hiyo kama sehemu ya kujipatia kipato.Mafuta ya nazi ni bidhaa ambayo hutokana ...
Vazi alilovaa mwigizaji kutoka nchini India Alia Bhatt kwenye tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika siku ya Jumatatu Mei 6 katika ukumbi wa ‘Me...
Maisha ya sasa siyo sawa na ya zamani, wakati mwaka 1920 wanawake walikuwa wakipata wakati mgumu unapokuja wakati wa siku zao za mzunguko za hedhi, huku baadhi yao wakitumia v...