Yaani hazieleweki zinataka nini au zinataka mwanaume wa aina gani.
Mambo ya siksi paki, sijui urefu, sijui ujentlomani, sijui manini nini sijui.
Tunawaka rasmi sasa msimamieni...
Kwa mwanamke kukinaiwa na tendo si kitu cha kustaajabisha. Kwa wanawake tendo kwao sio kama wanaume kuingiza na kumaliza basi.
Kwa wanawake tendo linaenda sambamba na maandali...