Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) chini ya katibu mkuu Kedmon Mapana ameeleza kuwa wapo katika mchakato wa kufanya marekebisho kwenye kanuni zake.Marekebisho haya yanakuja baa...
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetupilia mbali rufaa ya ‘klabu’ ya #Yanga ya kutaka marejeo (review) ya adhabu ya mchezaji wao...
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football league (AFL) kuelekea mchezo wa kesho kati ya Al Ahly dhidi ya Simba lile bao la ugenini lipo.
Kanuni ya 15 kifungu kido...
Inadaiwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemzuia rasmi ‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Azam FC, Youssouph Dabo, raia wa Senegal kusimama kwenye 'be...
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limewakumbusha kwa mara nyengine wadau wa mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na watu ambao wamefungiwa kwa makosa mbalimbali ...
Yaap! Kama ilivyokawaida yetu bwana, karibu kwenye makala za michezo na burudani na leo tutaenda kuzifahamu zile kanuni katika michezo ya watoto.
Huwa hatuachi jambo kuhakikis...
Na Neema Mwamkina
Maisha ya mwanadamu wakati mwingine yamejaa matukio ambayo huwezi kuyaepuka. Moja kati ya hayo ni mtu kuchukiwa na wenzake na kujikuta katika wakati mgumu iw...
Mojawapo ya mambo muhimu katika mafanikio ya aina yoyote maishani ni kupata msaada wa aina Fulani kutoka kwa watu wengine. Mtu hawezi kufanikiwa bila msaada wa watu,kwa maana ...
Leo katika fitness tumekuwekea kanuni 10 za kufuata ili mazoezi yako unayoyafanya yawe bora na kuleta faida na manufaa katika mwili.
Kanuni hizo ni hizi zifuatazo:
Mazoezi ya...
Mpendwa msomaji wetu leo katika karia tumekusogezea siri ya maisha na kukusisitizia kwamba maisha hayana kanuni lakini yana siri nyingi.
Jongea nasi kuzijua siri hizo…&...