Binti afariki akiwa anajiandaa na mazishi ya baba yake

Binti afariki akiwa anajiandaa na mazishi ya baba yake

Kufatiwa na mwanamke ambaye mbae jina lake halikufahamika wakati apokuwa anajiandaa kumzika mumewe katika eneo la Mukumu nchini Kenya alipata pigo lingine kubwa baada ya bintiye jane mwenye umri wa miaka 11kufariki

Baada ya  kulalamikia maumivu ya kichwa kuzimia na kufariki katikati ya mazishi baba yake nakupelekea shughuli za mazishi kusitishwa kwa muda huku msichana huyo akikimbizwa hospitalini.

Alithibitishwa kufariki alipofikishwa hospital "Sijui hata nianzie wapi kwani nimeachwa na watoto tisa na kubaki pekee yangu," mjane huyo aliyejaa huzuni alisema mama huyo mfiwa wa mume wake na mtoto wake.  

Japo juhudi za kuokoa maisha ya binti huyo hazi kufua dafu licha ya kumkimbiza hospital ilio karibu alitangazwa kuwa amefariki alipofika tu hospital.

Mjane huyo alieleza kuwa saa 3 asubuhi wakati kila mtu alikuwa akijiandaa kwa maziko, binti yake alianza kulalamikia kuumwa na kichwa msichana huyo alipoanguka na kuzimia familia ililazimika kusimamisha ibada ya mazishi ili kumkimbiza hospitalini.

Ripoti zinaonyesha kuwa mume wake alifariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi, na bintiye alifuata vivyo hivyo siku ya mazishi ya baba ake na familia hiyo waliwaomba wasamalia wema kujitokeza kumsaidia mjane huyo kusomesha watoto walioachwa.

Chanzo TUKO






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags