Ben Pol Afiwa na Baba yake

Ben Pol Afiwa na Baba yake

Moja kati ya taarifa ambayo siyo chema ni hii hapa ambapo Msanii Ben Pol Amefiwa naa Baba yake, ametoa Taarifa hiyo Kupitia Instagram account yake.

Ben Pol Amepost Picha akiwa Na Baba Yake Na Kuandika ambapo picha hiyo ikiwa imeambatana na ujumbe huu hapa...."RIP Strongman Dad''

Taarifa zaidi kuhusiana na Msiba huo tutkujaza kadri zitakapo tufikia,Hata hivyo baada ya kuweka posti hiyo mastaa mbalimbali wametoa salamu zao za pole,Mwanachi scoop tunatoa pole kwa Msanii Ben Pol pamoja na ndugu jamaa na marafiki bila kusahau wote waliofikwa na msiba huo.







Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags