Barcelona yamnyatia Dani Olmo

Barcelona yamnyatia Dani Olmo

Uongozi wa #Barcelona tayari umeanza kufanya mazungumzo na ‘klabu’ ya #RBLeipzig kwa ajili ya kumchukua mchezaji wa ‘timu’ hiyo #DaniOlmo.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 amekuwa akionesha juhudi uwanjani ambazo zimepelekea ‘klabu’ nyingi kufuatilia nyendo zake katika kikosi hicho.

Olmo alisaini mkataba mpya na ‘klabu’ hiyo Juni mwaka jana ambapo mkataba huo unatarajiwa kumalizika mwaka 2027.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags