Barbara Gonzalez: Sina taarifa hiyo nawaza kuhusu Timu yetu

Barbara Gonzalez: Sina taarifa hiyo nawaza kuhusu Timu yetu

Mmmmmmmh! Baaada ya purukshani zote mitandaoni kuhusiana na swala la Manara kufungiwa basi bwana kwa upande wa Afisa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez yeye akiwa katika mahojiano na chombo cha habari baada ya kuulizwa kuhusu hukumu ya Manara na kusema kuwa hajui chochote kuhusu kilicho mtokea Msemaji huyo.

Aidha Barbara ameleza kuwa  "Sijasikia, jana focus yangu ilikuwa tuzo sijui taarifa hiyo na kwa kweli focus yangu iko kwa wachezaji wetu, timu yetu na kile tunachoendelea kujipanga kwa ajili msimu ujao” amesema Barbara Gonzalez

Duuuuuuuuu! Mfuatiliaji wa Mwananchi Scoop je anacho kisema mtendaji ni kweli au tumsamehe tu, dondosha komenti yako hapo chini.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags