Balozi waufaransa nchini Bukinafaso arejea nyumbani

Balozi waufaransa nchini Bukinafaso arejea nyumbani

Hatua hiyo imetangazwa Siku moja baada ya Ufaransa kusema itaondoa Majeshi yake Nchini humo Machi 2023

Kumekuwa na uhusiano duni wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo katika Miaka ya hivi karibuni, ambapo BurkinaFaso inaamini France  haijawa na nguvu ya kutosha kukabiliana na uasi unaoendelea katika Ardhi yao






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags