Aunty: mimi ndiye msanii mwenye ngozi nzuri

Aunty: mimi ndiye msanii mwenye ngozi nzuri

Mwigizaji mkongwe nchini Aunty Ezekiel kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari amefunguka na kueleza kuwa yeye ndo msanii anayeongoza kwa kuwa na ngozi nzuri nchini.

#Aunty amesema,

 “Ukiongelea kuhusu wasanii na ngozi zao nadhani naweza nikawa ni msanii wa kwanza mwenye ngozi nzuri if am not wrong.”

Unakubaliana na kauli ya mama #Kuki kuwa yeye ndiye mwenye ngozi nzuri zaidi nchini?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags