Apoteza uwezo wa kuona akijaribu kuvunja record ya guinness

Apoteza uwezo wa kuona akijaribu kuvunja record ya guinness

Raia wa Nigeria, Tembu Daniel Ebere maarufu kama @237_towncryer, alipoteza uwezo wa kuona kwa muda, wakati wa jaribio lake la kuvunja rekodi ya Dunia ya Guinness ya kuwa mtu aliyelia masaa mengi zaidi duniani.

Kupitia mahojiano aliyofanya na BBC alieleza kuwa ,alidhamiria kulia kwa kwa saa 100, ili aingie katika rekodi hiyo ya dunia, badala yake zoezi hilo lilimsababishia tatizo la kutoona kwa dakika 45, Kutokana na kupata tatizo hilo ilibidi ajipange upya na apunguze muda wa kulia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags