Alipwa zaidi ya bilioni 25 baada ya ex wake kuvujisha picha za faragha

Alipwa zaidi ya bilioni 25 baada ya ex wake kuvujisha picha za faragha

Mwanamke mmoja kutoka Texas amelipwa fidia ya zaidi ya Tsh 25 bilioni, baada ya mpenzi wake wa zamani kusambaza picha za faragha za mwanamke huyo baada ya kuachana.

Mwanaume huyo alichukua uamuzi wa kusambaza picha hizo katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Facebook, Twitter, Dropbox na mingineyo kama njia ya kulipiza kisasi baada ya wawili hao kuachana.

Baraza la majaji Texas limekemea vikali kitendo hicho kwani si tu kuweka wazi faragha za mwanamke huyo bali kimepelekea apitia vitendo vya kikatili kwenye jamii na kumuharibu kisaikolojia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags