Alichokiandika Shafii Dauda baada ya Manara kufungiwa

Alichokiandika Shafii Dauda baada ya Manara kufungiwa

Duuuuuuuh! Ikiwa ni taarifa za kuskitisha zinazoendelea kusambaa na kutrend katika mitandao ya kijamii kuhusu swala la msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara kupewa adhabu ya kifungo cha miaka miwili na faini ya shilingi million 20 bila kujishughurisha na maswala ya michezo

Basi bwana alicho ongea influence sport journalist na programs manager wa cloudsfm, Shafii Dauda kupitia ukurasa wake wa Insagram na kuandika kuwa “Haji Manara wajela jela Fc done deal, Nikiwa kama CEO wa wajela jela fc natangaza usaili wa kiungo mshambuliaji Haji Manara kwenye timu yetu kwa ada ya million 20 na kandarasi ya miaka miwili, basi bwana akamalizia kwa kusema karibu sana jela kaka, captain wako nipo hapa njoo tuipandishe timu yetu daraja” ameandika Shafii Dauda

Shafii Dauda ambae ni mmoja wa watu ambao wamefungiwa na kamati ya maadili ya TFF ambapo yeye amefungiwa kifungo cha miaka mitano na faini ya shilingi million 6

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags