Alichokiandika Manara baada ya simba kumtimua Zoran

Alichokiandika Manara baada ya simba kumtimua Zoran

Aloooooh! Waswahili wanasema vita ya panzi ni furaha kwa kunguru, huu msemo wala hakukosewa basi bwana yule msemaji wa yanga mzee wa kuwakera Haji Manara,  anaanzaje kukaa kimya kwa hili lililotokea, ikiwa ni dakika chache tu simba kutangaza kuvunja mkataba na Zoran Maki, amefunguka na kuwapa makavu klabu ya simba.

Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa “ Na bado I told you Kila Wiki mtafukuzana hadi mtakapompata Mchawi wenu sahihi. Hao ni kafara tu, Jini mnalo ndani kwenu linawatafuna, Ole wenu mumuondoe Mdhungu wetu” ameandika Haji Manara

Uwiiiiiiii! Nyie nyie nyie huyu mzee anajua kuwakera haswa, embu dondosha komenti yako hapo chini je nisahihi kwa walichokifanya klabu ya simba au laa!.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags