Ali Kiba: Ukitaka kolabo na mimi jitafute kwanza

Ali Kiba: Ukitaka kolabo na mimi jitafute kwanza

Mwanamuziki wa #BongoFleva #AliKiba amesema kuwa wasanii wanaotaka kufanya kolabo naye wajitafute kwanza hata kama mwanamuziki ambaye yupo chini ya lebo yake.

Akizungumza mbele ya vyombo vya habari msanii huyo ameeleza kuwa wasanii wanao hitaji sauti yake katika nyimbo zao wanatakiwa wajitafute sana maana ndio njia sahihi kwa mwanamuziki ambaye anataka kufanya muziki na mtu mkubwa.

Pia amesema kuwa sababu ya kufanya hivyo ni kumsaidia mwanamuziki chipukizi kujua uwezo wake katika kufanya muziki wa level kubwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags