Akamatwa na polisi kwa kumshika makalio mwandishi wa habari

Akamatwa na polisi kwa kumshika makalio mwandishi wa habari

Mwanaume mmoja kutoka Madrid anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari wa kike kwa kumshika makalio na kumfanyia ghasia eneo la kazi.

 Mwandishi huyo alikuwa akiripoti tukio la wizi ndipo mwanaume huyo alifika mbele ya Camera na kumuuliza ni kituo gani cha Televisheni anafanyia kazi na ndipo akatekeleza kitendo hicho. Mwanahabari  huyo anafahamika kwa jina la Isa Balado wa kituo cha Cuatro.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurukaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags