Aitwa jina la mchepuko wakati wa tendo la ndoa

Aitwa jina la mchepuko wakati wa tendo la ndoa

Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliefahamika kwa jina la White Boy Rick  maarufu kama Wershe ameshikiliwa na Polisi, baada ya kumshushia kipigo mpenzi wake wakati wakifanya tendo la ndoa.

Wershe alikamatwa baada ya mwanamke huyo kumtaja jina la mwanaume mwingine walipokuwa wakifanya tendo la ndoa.

Aidha mpenzi huyo ambaye hakutambuliwa alidai kwamba aligombana na Wershe Jumamosi na mwanamke huyo alijaribu kuondoka kitandani, lakini Rick anadaiwa kumshika mkono na kumpokonya bangili ya almasi na mkufu aliokuwa amempa kama zawadi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags