50 Cent kutoa album yake ya mwisho

50 Cent kutoa album yake ya mwisho

Unaambiwa huko mitandaoni moja ya story inayobamba ni ya msanii kutokea pande za Marekani 50 Cent kuandika ujumbe uliyoashiria kuwa uwenda album yake ijayo ndio itakuwa ya mwisho.

50 Cent katika ukurasa wake Instagram ameandika ujumbe huo hivyo huwenda msanii huyo akaachana kabisa na muziki na kujikita zaidi katika shughuli zake zingine kama biashara na filamu.

“Smile my next album might be my last terrorized hip hop for 14 years, domn’t believe me nelson, the number will never lie but I’m nobody’s favorite Smh Nah I’m Top 10 dead or alive and I’m not done,” ameandika 50 Cent.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags