Zuchu Awajibu Basata

Zuchu Awajibu Basata

Ebwana eeeh! kutoka lebo ya WCB msanii Zuchu amewajibu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kuwaambia wamewaonea kuifungia video ya mtasubiri aliyofanya na Diamond Platnumz.

Zuchu ameandika ujumbe huo kupitia yukurasa wake wa Instagram uliyosomeka hivi.

"Huu ndio umauti wa Tasnia hii unapoanzia. Sijui nileleze vipi hisia zangu zipokelewe kwa heshima ya kutosha na utii bila ya kuchukuliwa kama mjeuri ila kwa hili mmetuonea".

"Sisi ni vijana tunaotafuta riziki bila ya kuchoka lakini pengine wazazi wetu Basata.tanzania mmekua mstari wa mbele kutuvunja nguvu mbele ya jamii bila kujali hisia, muda, vipaji na uwekezaji unaofanyika".

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags