Zaidi ya watu 15,000 wafariki katika tetemeko la ardhi

Zaidi ya watu 15,000 wafariki katika tetemeko la ardhi

Idadi ya watu waliofariki katika matetemeko Mawili yenye kipimo cha Richa 7.8 na 7.6 yanazidi kuongezeka kadri muda unavyosogea, ambapo hadi hivi sasa Turkey  imerekodi zaidi ya vifo 12,300 na Syria  takriban vifo 2,900.

Wakati juhudi za uokoaji zikiendelea, Mamia ya Familia yanatajwa kuwa bado yamefukiwa na vifusi.

Baadhi ya waliofariki Uturuki walikuwa wakimbizi kutoka vita vya Syria miili ya watu hao ilifanikiwa kufikishwa mpakani kwa teksi, magari ya kubebea mizigo na ili kupelekwa sehemu za mwisho za kupumzika katika nchi yao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags