Zaidi ya wanawake 50 watekwa Burkina faso

Zaidi ya wanawake 50 watekwa Burkina faso


Matukio yametokea Kaskazini mwa BurkinaFaso, ambapo Wanawake hao wametekwa katika makundi mawili kwa muda tofauti.

Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake walifanikiwa kutoroka na kurejea Vijijini.

 Wanawake wengi wamekuwa wakitembea kimakundi kuingia Porini kutafuta Matunda na Chakula kutokana na uhaba wa Chakula.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post