Yulimar ateuliwa kuwania tuzo mwanariadha bora wa mwaka

Yulimar ateuliwa kuwania tuzo mwanariadha bora wa mwaka

Umekuwa mwaka mzuri kwa mwanariadha kutoka nchini Venezuela, #YulimarRojas si kwa sababu tu alifuzu kwenye michezo ya Olimpiki’ lakini pia siku ya jana ameteuliwa kuwania tuzo ya Mwanariadha Bora wa Mwaka.

Tuzo ambayo inatolewa na ‘World Athletics Award’ambao ni chombo cha juu zaidi katika riadha duniani.

Kati ya walioteuliwa kuwania tuzo hiyo kuna wanariadha watatu pekee walioteuliwa kutoka nchini Marekani na wengine kutoka mataifa mengine akiwemo mwanariadha  Sha'Carri Richardson, Shericka Jackson. 

Yulimar aliwahi kuwa mshindi wa medali ya Olimpiki Tokyo mwaka 2020 alitwaa medali ya dhahabu katika kuruka mara tatu kwenye michezo ya Amerika, na mashindano ya riadha ya dunia ‘Budapest’ 2023 na kushinda ‘Ligi’ ya Diamond.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags