Yanga tupo tayari kuondoka na point  tatu

Yanga tupo tayari kuondoka na point tatu

 

Yes!! Afisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zote watakazocheza na kikubwa wanahitaji pointi tatu ambazo kwao ni muhimu .

Nikupe taarifa kuwa Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kushuka uwanjani Aprili 23 kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC katika uwanja Benjamin Mkapa.

“Tunaua mchezo wetu dhidi Namungo utakuwa na ushindani mkubwa, wapinzani wetu tunawaheshimu hivyo ambacho tunakifanya ni maandalizi mazuri''

''Wachezaji wapo tayari na kila kitu kinakwenda sawa hivyo mashabiki wazidi kuwa pamoja nasi ili kuweza kuona namna gani tunapata matokeo,” amesema Haji Manara.

 Ebwana eeeh!! Kama shabiki timu zote mbili dondosha comment yako hapo chini utuambie karata yako unaitupa kwa timu gani? www.mwananchiscoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags