YANGA NI KUTETEMA TU!!

YANGA NI KUTETEMA TU!!

HII NI RASMI sasa...

Eeeeh bwana eeeh! Klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya 28 baada ya ukame wa misimu minne, huku ikiwa na michezo mitatu mkononi kufuatia kuifunga Coastal Union ya Tanga mabao 3-0.MCHEZO ULIKUWA HIVI:

FT: Yanga 3-0 Coastal Union
54' Yanga 2-0 Coastal Union.MAGOLI JE??

⚽️'34, F Mayele
⚽️' 53, C Ushindi
⚽️' 68, F Mayele.YANGA NI FULL KUTETEMA, MAYELE KUZIDI KUNG'ARAAA!
Hongera sana Yanga.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post