Yanga day kinawaka kwa Mkapa

Yanga day kinawaka kwa Mkapa

Kumekuwa na minon’gono ya hapa na pale kwa mashabiki wa ‘klabu’ ya #Yanga kuhusiana umarufu walioutengeneza misimu miwili iliopita na kuwa imara kwenye timu yao, ukizingatia wao ndiyo mabingwa wa misimu yote 29.

Huku mashabiki wakiwa na hamu na shauku ya kutaka kujua nini kita-happen katika siku yao (Yanga day), itayo fanyika Julai 22, 2023, kutokana na surprise kibao zinazoendelea hivi karibuni, na ubora amabao wamekwa wakionyesha kabla ya msimu kuanza.

Kupitia kurasa wake wa #Instagram wa Afisa Habari wa Yanga #AllyKamwe aliwauliza mashabiki wa timu hiyo “nijambo gani unatamani kuliona kwenye week ya wananchi?”

Baadha ya ma-fans walitoa maoni mengi, lakini kubwa zaidi walitamani kumuona #FirstonMayele, ambaye mpaka sasa haijajulika hatima yake dhidi ya klabu hiyo, na utambulisho wa namba 6 ambao unasubiriwa kwa hamu na mashabiki.

Dondosha comment yako tuambie unatamani iweje siku hiyo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags