Wolper: Pesa ya kuhongwa ni haramu

Wolper: Pesa ya kuhongwa ni haramu

Mugizaji Jacline Wolper amedai kuwa pesa ya kuhongwa siyo halali ni pesa ya haramu kwa sababu hauwezi ukaionea uchungu.

Muigizaji huyoamedai aliwahi kuongwa sana lakini hakuna alichofanya kupia pesa hizo, lakini sasa hivi pesa ambayo anaitafuta mwenye anaona uchungu kuifanyia vitu visivyo vya msingi.

Licha ya hayo amewataka wadada kujituma kwa sababu pesa ya kuhongwa ni ngumu kuifanyia maendeleo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags