Wolper Kufunga Ndoa November

Wolper Kufunga Ndoa November

Haloo weeh!!! Haloo tenaaa!! Hivyo ndivyo watoto wamjini wanasema bwana ambapo Baba mtoto wa msanii wa filamu nchini Jacqueline Wolper amesema harusi yao inatarajiwa kufungwa mwezi November.

 

Sambamba na hayo bwana Rich Mitindo ameweka bayana kuwa harusi hiyo itagharimu zaidi ya Milioni 50 na itakua harusi ya nchi nzima.



Ebwana eeeh!! Unaweza kudondosha comment yako ukatuambia harusi yako ili gharimu   au itagharimu kiasi gani?

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags