Wolper afunguka kuachana mume wake

Wolper afunguka kuachana mume wake

Muigizaji na mfanyabiashara Jackline Wolper amefunguka kuhusu kuachana na mume wake Rich Mitindo,  kutokana na kuwepo kwa tetesi za wawili hao kuwa na ugomvi ambao ulipelekea kugombana hadi Wolper kufikia kum-block mume wake katika mitandao ya kijamii.

Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari Wolper alimeeleza kuwa yeye ni mtu wa ‘kupaniki’ na anawivu ila hawapi nafasi watu kumletea maneno ya pembeni kuhusu mume wake lakini akisikia anachunguza akijua ukweli anakuwa sawa, amedai kuwa yeye pia ni binadamu anaumia pia anaposikia jambo ambalo lina ukakasi kumuhusu mume.

Aidha amethibitisha ni kweli ugomvi ulikuwepo na ali mu-unfollow mume wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags