Wizkid na mkurugenzi wa ubunifu Gucci
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameonekana tena kwenye tamasha la Gucci Fashion Show lililofanyika London, huku akiwa ametupia mavazi ya ‘kampuni’ hiyo na kuonesha 'kusapoti', msanii huyo alionekana akifurahikia baada ya kukutana na Mkurugezi wa Ubunifu wa Gucci Sabato De Sarno.
Leave a Reply