Wiz Khalifa anunua mjengo wa bilioni 17.6

Wiz Khalifa anunua mjengo wa bilioni 17.6

Msanii kutokea pande za Marekani, Wiz Khalifa ametangaza kununua jengo la Bilioni 17.6 huko mjini Encino, California. 

Imeelezwa kuwa mjengo huo mpya una jumla ya vyumba vya kulala sita, mabafu saba, ofisi, chumba cha kufanyia mazoezi maarufu kama GYM pamoja na ukumbi wa movie.

Unaambiwa Wiz Khalifa anaendelea kuupiga mwingi tuambie, je na wewe umehamasika hata kujenga mjengo wa kiwango chako cha hela unachopata?

Pia unaweza kutuambia ni msanii gani unatamani aweze kujenga nyumba kama hiyo hapa bongo. Tutumie maoni yako katika ukurasa wetu wa Instagram. 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags