Will Smith kutua Zanzibar soon

Will Smith kutua Zanzibar soon

Nyota Wa filamu nchini Marekani Will Smith ameashiria kwamba yupo njiani kuja Zanzibar. Ame-share clip ambayo ikionesha anakaribishwa na wakazi wa Zanzibari, na kuandika caption ya shukrani kwa kukaribishwa na hivyo amejibu kwamba anakuja Zanzibar.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwamba huyo ameandika kuwa “"WOOOOOWWW… Thank You! Thank You!! That is Gorgeous. I’m on my way." 

Oooooyeeeh! Wanangu wa Mwananchi scoop hatuna cha kusema zaidi ya kumkaribisha mwigizaji huyo katika kisiwa cha marashi ya karafuuu, welcome to Tanzania, Welcome to Zanzibar.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post