Whozu: Nimeyatimba, kama mama mkwe hakukubali nyoosha mkono

Whozu: Nimeyatimba, kama mama mkwe hakukubali nyoosha mkono

Kufuatia na kitendo kilichoteka usiku wa kuamkia jana katika birthday ya Wema, baada ya mama yake, kueleza kuwa anakasirishwa na kitendo cha Whozu kutokufuata taratibu za ndoa za kumuoa binti yake.

Kupitia show aliyoifanya jana Whozu jijini Dar es Salaam, amedai kuwa ameyatimba huku akiwataka mashabiki wasiopendwa na wakwe zao wanyooshe mkono juu






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags