Whozu: Nikifariki msisaha kuniongelea kama nilipendwa sana

Whozu: Nikifariki msisaha kuniongelea kama nilipendwa sana

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifariki katika wosia wake watu wasisahau kumuongelea kama alipendwa sana.

Ameyasema hayo akiwa katika interview na waandishi wa habari ameeleza yupo katika mapenzi mazito sana kwa sababu anapendwa na akafika mbali kama akifariki basi watu wamuongele kama alipendwa sana yawezekana ikaja kuwa sababu ya yeye kufariki juu ya hayo mapenzi.

Ikumbukwe wawili hao hawana muda mrefu sana hiyo ni baada ya msanii huyo kuachana na mzazi mwenziye na kuzama kwa penzi la Tanzanian Sweetheart.

Haya tuambie wewe umewahi kupendwa kama Whozu ?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags