Waziri wa Kuhamasisha tendo la ndoa Spain

Waziri wa Kuhamasisha tendo la ndoa Spain

Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo.

Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi

Serikali ya Uhispani ilifikia maamuzi ya kuanzisha wizara hiyo kutokana na kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa katika taifa hilo ikilinganishwa na idadi ya vifo.

Wataalam wanasema nguvu kazi kwenye mapenzi imepungua kwa kiasi kubwa kwenye taifa hilo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo watu kufanya kazi kwa muda mrefu hali inayowafanya wachoke kushiriki tendo la ndoa pindi warudipo nyumbani.

Aloooo! Haya sasa wanangu wa Mwanachi Scoop kama nawaona mnavyo tamani kupata Uraia wa Uhispania, hahaha! Dondosha komenti yako hapo chini vipi tukupeleke au?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags