Wanasarakasi wa Tanzania wang’ara America  Got Talent

Wanasarakasi wa Tanzania wang’ara America Got Talent

Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wamefanikiwa kuingia hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent msimu wa 18 nchini Marekani.

Wanasarakasi hao wametoa shukurani za dhati kwa mashabiki na wameahidi kushinda taji hilo msimu huu wa 18 wa mashindano hayo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags