Wanaoanzisha biashara kutolipa kodi hadi mwaka mmoja

Wanaoanzisha biashara kutolipa kodi hadi mwaka mmoja

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara  kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja.

Kauli hiyo imeelezwa na Waziri wa viwanda na biashara, dkt. Ashatu Kijaji wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani machi 08, 2023 wilaya ya kondoa.

Ebwana eeeh niambie mdau unaizungumziaje kauli hii ya Rais Samia ? dondosha comment yako hapo chini.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags