Wabunge wataka kupigana wakijadili mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

Wabunge wataka kupigana wakijadili mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni hii imetokea huko Sierra Leone ambapo Wabunge wataka kupigana wakijadili mabadiliko ya sharia ya uchaguzi.

Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano ya Mjadala wa Mapendekezo ya Mageuzi ya Uchaguzi ambapo Wabunge walikuwa wakibishana kuhusu suala la kuzingatia Idadi ya Uwakilishi katika uchaguzi ujao Nchini humo

Chama Tawala (Sierra Leone People’s Party) kinaunga mkono mageuzi yanayotaka kufanyika wakati Uhama cha Upinzani (All People’s Congress) kinaamini mabadiliko hayo yanayotaka kufanyika ni kinyume cha Katiba

Askari wa ndani ya Bunge walilazimika kuingia kuweka mambo sawa baada ya viti kuanza kurushwa wakati wa purukushani hiyo

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post