Wabunge wapendekeza muswada wa kuizuia Tiktok sababu ya kiusalama

Wabunge wapendekeza muswada wa kuizuia Tiktok sababu ya kiusalama

Taarifa hii kutoka nchini Marekani ambapo Muswada huo ni mwendelezo wa kuupinga Mtandao wa TikTok unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China.

Aidha Novemba 2022, FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya ushawishi kwa Wamarekani wengi kutumia vifaa vya China.

Hata hivyo TikTok ambayo ina watumiaji zaidi ya Milioni 100 Nchini Marekani imekanusha taarifa hizo na kudai Maamuzi hayo yanaendeshwa na msukumo wa Kisiasa.

Ebwana eeeh!! Sasa itakuaje wale wadau wa Tiktok ambao hatuwezi kabisa kupita siku bila kuingia kwenye mtandao huo dondosha comment yako hapo hali itakuaje?


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post