Viatu vya ubingwa wa Jordan viliuzwa billioni 20

Viatu vya ubingwa wa Jordan viliuzwa billioni 20

Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa kikapu NBA kutoka nchini Marekani #MichaeJordani ameweka rekodi ya kukusanya viatu vyake alivyo wahi kuvi vaa katika fainali ya sita za ‘The Dynasty Collection’ mwaka 1991 na kuviuza katika mnada wa #Sotheby kwa dola 8 milioni sawa na tsh 20 bilioni.

Kwa mujibu wa Business Insider inaelezwa kuwa  viatu hivyo vya bei ghali zaidi vilivyowahi kupigwa mnada ambapo vilikuwepo viatu alivyo wahi kuvivaa katika ubingwa wa kwanza katika mchezo huo mwaka 1991 hadi fainali yake mwaka1998, vyote vikiwa na mpangilio wa rangi nyeusi na nyekundu.

Licha ya kustaafu mwaka 2003 Michael Jordan ambaye ana umuri wa miaka 60 anachukuliwa kuwa mchezaji bora katika NBA hadi sasa, Pia ndiye mchezaji basketball tajiri ambaye amejitengenezea kazi nzuri kwa kutumia utajiri wake kutoa misaada mbalimbali.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags