Vera Sidika amlalamikia Brown kuonesha sura ya mtoto wao bila taarifa

Vera Sidika amlalamikia Brown kuonesha sura ya mtoto wao bila taarifa

Mrembo na Mfanyabiashara kutoka nchini Kenya #VeraSidika ametoa malalamiko kwa baba watoto wake #BrownMauzo kuonesha sura ya mtoto wao wa kiume bila mwanadada huyo kupewa taarifa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post picha ya mtoto wake na kumtakia kheri ya kutimiza miezi saba na kuandika ujumbe akidai kuwa imembidi aoneshe sura ya mtoto huyo bila kupenda kwani baba yake tayari kaionesha.

Ikumbukwe wawili hao walitangaza kuachana miezi kadhaa iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili kipindi wakiwa pamoja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags