Uwoya: umaskini unauma

Uwoya: umaskini unauma

Na Habiba Mohamed

Hellow niaje niajeeee!kama kawaida hatupoi na hatuboi na habari moto moto, waswahili tunasema ni yeyee Tajiri  mwenyewe anakamsomo kake kuwa jumatatu sio siku ya kazi na hapa namzungumzia mwanadada mkongwe katika tasnia ya bongo movie Irene Uwoya anakwambia umaskini unauma sana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram bwana ameandika ujumbe kama kawaida yake ukisema “Umasikini ni shida sana,unauma kujilaza kidogo ili upumzishe akili yako kheee unayaota matatizo yako na madeni” ameandika Uwoya

Oyaaaahweee! Wanangu ule msemo wa tutafute hela unauma sana ila ndo hali halisi, doshosha komenti yako hapo chini je ni yakweli aliyoyasema mwanadada huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags